VOA Swahili ›› Al Ahly ya Libya yafanya bidii kufuzu michuano ya BAL msimu wa nne
Al Ahly ya Libya ikifanya bidii kufuzu katika Michuano ya Mpira wa Kikapu ya Afrika BAL na mjadala ni namna ilivyo muhimu kwa mashabiki wake. Wanajua itakuwa ni kupambana lakini kila mmoja atakumbuka kuwa Al Ahly Ly ni timu ya kwanza ya Libya kuweza …